Saturday 13 May 2017

Mpyaaaaaaaaa kutoka kwa rayvany(raymond)


Mabibi na Mabwana,, siku ya leo nina wasogezea nyimbo mpya kutoka kwa kijana wenu RAYVANY au wengi humuita RAYMOND kutoka WCB chini ya usimamizi wa Diamond Platinumz .. Nyimbo inaenda kwa jina la ZEZETA ..

 BONYEZA HAPA kudownload


Monday 31 October 2016

NEW SONG ..! "RUDI"

Mabibi na Mabwana , Mikausho records inayo furaha kuwa letea single yao mpa , iendayo kwa jina la "RUDI" kazi ambayo imefanywa na OMMY Q, na kuandaliwa na Chriss Conshaz kutoka mikausho records

kupata Single hii Bofya hapa

Tuesday 30 August 2016

DIAMOND PLATINUMZ KWENYE NGOMA MOJA NA FRENCH MONTANA..!!!

Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani
".Nilipofika tu ofisini kwake kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali, pili alinisikilizisha nyimbo zake mbili mpya aliyofanya na Wizkida nyingine amefanya collabo na msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana"
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Belle 9 akieleza collabo mbili mpya za Diamond ikiwemo ya French Montana; bonyeza hapa

Wednesday 3 August 2016

KIZEMBE -DIZZY THE KILLER

Ngoma mpya ya msanii chipukiziki DIZZY THE KILLER.. inaitwa kizembe..


                                                              Kudownload
                                                                      BOFYA HAPA

Friday 10 June 2016



        ZLATAN IBRAHIMOVIC KWENDA MAN U HIVI KARIBUNI...

    
Usiku wa June 9 taarifa za staa wa zamani wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovich kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man United zimechukua sura mpya, Zlatan anaripotiwa kukamilisha hatua ya nne ya kujiunga na klabu ya Manchester United.
Dalili inayotajwa kuwa staa huyo yupo mbioni au katika hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Man United zinazidi kudhihirika, baada ya kuripotiwa tayari ametafutiwa nyumba ya kuishi katika jiji la Manchester ambapo ndio makao makuu au mji inapotoka klabu ya Man United.
bgv


                           REMY BOIZ WALIVYOWAKILISHA  ..........!!!!!!!
         
   Remy boiz 1738 ni kikundi ambacho kimeanzishwa na vijana kutoka Benjamin Mkapa High School
           Hii ilikua ni siku ya happy birthday ya rafiki yao mpendwa ELIAWINGA NDOSSY a.k.a BEACH BOY..
                   na hizi ndio picha za tukio zima ilivyokuwa                   


                                       xinho mwanzo kushoto, birthday boy akifuatia, obio baddest, noel      modo,evance,salim baharia, mido,hasheem.
          
               
                                            hapo juu ni cake...

 
                                                mdau alie uzulia.. 

                                         party ilivyo endelea....

                                birthday boi...  aaaaaaaa happy birthday br...